Header Ads

test

MJUMBE KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT MARIAM ULEGA ALIVYOSHIRIKI UFUNGUZI MAFUNZO YA UONGOZI

 


Mjumbe  wa Kamati ya Utekelezaji  wa Baraza UWT,Mariam Ulega, akizungumza  na waandishi  wa habari (hawapo pichani) katika ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi ya Uongozi yaliyodhaminiwa  na  Chama Cha Kikomunisti cha China kwa vijana 50 yanayofanyika katika  Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kwa Mfipa Wilayani Kibaha Mkoani Pwani  leo Oktoba 30,2023.

Mjumbe  wa Kamati ya Utekelezaji  wa Baraza UWT Mariam Ulega (wapili kulia) akizungumza na washiriki wakati ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi ya Uongozi yaliyodhaminiwa  na  Chama Cha Kikomunisti Cha China kwa vijana 50 yanayofanyika katika  Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere iliyopo Kwa Mfipa Wilayani Kibaha Mkoani Pwani  leo Oktoba 30,2023.
Mjumbe  wa Kamati ya Utekelezaji  wa Baraza UWT Mariam Ulega (wapili kulia) akifuatilia ufunguzi  wa mafunzo  ya viongozi hao.
Sehemu ya washiriki.



 

No comments