Header Ads

test

MAFUNDI TANESCO NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MPANGA HALMASHAURI YA IFAKARA WAKIPAMBANA KURUDISHA MIUNDOMBINU YA UMEME

 

Mafundi Tanesco kwa kushirikiana na Wananchi wa kijiji cha  Mpanga katika Halmashauri ya Ifakara Mjini leo mchana wakipambana kurudisha miundombinu ya umeme katika hali yake baada ya kuharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha  ili huduma ya  umeme upatikane kwa haraka.



 

No comments