NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI DK. MSONDE AZINDUWA MAADHIMISHO JUMA LA ELIMU KITAIFA, GEITA
| Kaimu Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TEN/MET), Bi. Martha Makala akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita leo. |
![]() |
| Wanafunzi wa Shule mbalimbali wakiingia kwa maandamano katika Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Wanafunzi wakiwa wameshika mabango ya jumbe anuai katika Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Baadhi ya wanafunzi wakitumbuiza kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Baadhi ya wanafunzi wakitoa burudani kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Wanafunzi wakiwa wameshika mabango ya jumbe anuai katika Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Wanafunzi wakiwa wameshika mabango ya jumbe anuai katika Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Msafara wa maandamano ya wanafunzi kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Wanafunzi wakiwa wameshika mabango ya jumbe anuai kwa maandamano kuelekea Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
![]() |
| Msafara wa maandamano kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |
| Wanafunzi wakiwa wameshika mabango ya jumbe anuai kwa maandamano kuelekea Uwanja wa CCM Kalangalala kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu Kitaifa yanayofanyika mkoani Geita. |

Post a Comment