DKT NCHIMBI | WAGOMBEA UDIWANI TANDAHIMBA | WATAKA MITANO TENA KWA DKT SAMIA

Dkt Nchimbi leo Oktoba 03, 2025, atafanya mikutano miwili ya hadhara akianzia Liwale na kisha kuhitimisha siku kwa mkutano mkubwa wa hadhara katika Jimbo la Nachingwea mkoani Lindi.
Dkt Emmanuel Nchimbi ambae ni mgombea mwenza wa Dkt Samia Suluhu Hassan kupitia Mikutano yake ya Kampeni za Urais amekuwa akinadi Sera na Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030, ambayo imelenga kwa dhati kuboresha maisha ya Wananchi kwa kuinua hali zao Kiuchumi.
Post a Comment