Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Pwani Aongoza Wanawake Kumkaribisha Dkt. Samia Mkuranga
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mariam Ibrahim, ameongoza maandamano ya wanawake wa Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumkaribisha mgombea urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Maandamano hayo yamefanyika katika Kata ya Mwandege, Wilaya ya Mkuranga, utakapofanyika mkutano wa kampeni wa Dkt. Samia.
Post a Comment