Yahitimisha maadhimusho ya Wiki ya wazazi ngazi ya Wilaya katika kata ya Kwembe kwa kutembelea Wazee na kukabidhi baadhi ya mahitaji maalum. Viongozi na wanachama wote tunawashukuru kwa kufanikisha siku hii ki wilaya.Malezi bora na Uzalendo ni Msingi wa Taifa#WikiyaWazaziTanzania#WazaziUbungo
Post a Comment