Header Ads

test

DAWASA YABORESHA HUDUMA YA MAJI ILALA NA KARIKOO

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Ndugu Kiula Kingu pamoja na timu ya usambazaji maji wamepita mtaa kwa mtaa kuhakikisha upatikanaji wa huduma ya maji kwenye maeneo ya Ilala na Kariakoo. Huduma inazidi kutengemaa katika maeneo ya katikati ya Jiji, Ilala hadi Kariakoo.

No comments