Header Ads

test

MBUNGE MHAGAMA AMKARIBISHA RAS MPYA RUVUMA

Picha ya juu kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Jenista Mhagama, akiwa kwenye viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma mjini Songea,baada ya kusalimiana na kumkaribisha mkoani Ruvuma Katibu Tawala mpya wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo ambaye amechukuwa nafasi ya Rehema Madenge ambaye amestaafu

No comments